Burudani

Waimbaji wa Nigeria Kiss Daniel na Chidinma Ekile katika mapenzi motomoto

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Aslay Awajibu Wanaomlinganisha na Alikiba na Diamond Platnumz!

#STORI

Baada ya Kiss Daniel ’23’ kushinda kesi yake dhidi ya lebo yake ya zamani ya G-Worldwide, imeripotiwa staa huyu wa muziki yuko kwenye mahusiano na msanii wa kike wa Nigeria Chidinma Ekile ’26’.

Rafiki wa Chidinma anasema walianza kuwa wapenzi mwanzoni mwa mwaka huu, wamejaribu kufanya siri ila Kiss amekuwa akimuweka Chidinma kwenye INSTA -Stories zake sana kukiwa na alama za makopa, mapenzi kwenye video au picha zake.

Kwa sasa Kiss Daniel anafanya kazi na lebo yake binafsi ya Flyboy INC baada ya kutoka G World Wide Entertainment aliofanya nao kazi toka mwaka 2013,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open