Habari

Bunge la Rwanda limepitisha rasmi Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa hilo.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Leo Feb 8 2017 Wabunge wa majimbo tofauti nchini Rwanda wamepitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya rasmi ya nchi hio na rai wake.

Kiswahili kitaungana na Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo na kwa sasa lugha hiyo itatumika kwenye shughuli za uongozi na na itaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za kiofisi.

Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu za shule Rwanda.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open