Michezo

Akiwa na miaka 18, hii ndio Rekodi aliyoweka Kylian Mbappe kwenye Champions League

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako
Akitokea Monaco mpaka PSG Kylian Mbappe ameweka rekodi ya kuwa mchezaji mwenye umri wa miaka 18 kufunga magoli kwenye mashindano ya UEFA Champions League katika Timu mbili tofauti.
Akiwa Monaco alifunga magoli Sita kwenye UEFA na sasa akiwa PSG kafunga goli kwenye mechi yao dhidi ya Celtic

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open