Burudani

Kocha wa Chelsea Antonio Conte katokea kwenye hii video ya hiphop ya MC Eyez ‘Smoking Fine’….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kocha wa washindi wa EPL 2017, Chelsea ,  ameonekana kwenye video ya muziki wa hiphop.

Antonio Conte ametoka kushinda kombe la Premier League na klabu yake ya Chelsea na sasa kocha huyu kadondoka kwenye video ya muziki wa hiphop ya msanii kutoka Uingereza MC Eyez.

MC Eyez amefanya kazi hii na producer Maniac, wimbo unaitwa ‘Smoking Fine’ na rekodi hii imepata umaarufu baada ya kocha wa Chelsea kuonekana.

Conte anaonekana kwenye hii video inapofikia dakika 1 na sekunde 43…..


#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open