Burudani

Rapa Kodak Black kwenda jela miaka 30

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa anayekuja kwa kasi kupitia muziki wa Trap ‘Kodak Black’ amefunguliwa mashtaka ya kufanya Vitendo vya kutaka Ngono kwa lazima/ kwa nguvu na vilivyo pelekea kumbaka msichana aliyekuwa naye.

Mnamo February 2016 Kodak Black alikamatwa baada ya dada moja kulalamika kuwa alikuwa na rapa huyu kwenye chumba cha hotel huko South Carolina, Kodak alimbamiza kwenye ukuta, akamtupa kitandani na kumfanyia vitendo vya kulazimisha ngono huku akimn’gata matiti yake na baadae kumbaka.

Kodak Black akikutwa na hatia anaweza kutumikia mpaka kifungo cha miaka 30 jela.

 

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open