Burudani

Hii video mpya ya Kodak Black ‘Black Cat’ Kunta Kentae Itazame hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

#SammisagoNews Inakupa nafasi ya kutazama video mpya ya rapa kutoka Marekani Kodak Black ‘Black Cat’ Kunta Kentae kutoka kwenye mixtape ya Baby 2. 

Huyu ndio rapa mweusi anayetajwa kuwa na vijana wakizungu wengi zaidi wanaohudhuria show zake baada ya kusema anapenda sana wanawake wa kizungu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open