Habari

Picha,kosa alilofanya Prince William katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto London…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Prince William alikuwa miongoni mwa wanafamilia ya kifalme Uingereza kujitokeza katika kuwafariji wahanga na waathirika wa moto kwenye jengo la goro mjini London lililochukua maisha ya watu 58 huku namba hii ikitegemewa kuongezeka.

Kitendo cha Prince William cha Kumkumbatia mama huyu aliyempoteza mume wake kwenye moto huu kimetajwa na vyombo vya habari Uingereza kuwa ni kinyume na sheria za wanafamilia hio ila Prince huyu alifanya kutokana na majonzi ya mjane huyo.

Raia wengine kwenye eneo hilo wanasema Prince William kweli ameonekana kuguswa na majonzi yao.

Polisi imesema wanategemea namba ya vifo kufikia wato 70.

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS  #StoriByMelisa

Weka Comments Hapa

Open