Udaku

Kumbe bado Jacqueline Wolper anampenda Harmonize….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Miongoni mwa habari kubwa ya Udaku mtandaoni inahusu SMS Za Jacqueline Wolper na mpenzi wa sasa wa Harmonize #Sarah .

Inasemekana SMS hizi ni za vitisho kuwa Jacqueline Wolper anaweza kumchukua Harmonize kutoka kwa Sarah Mzungu muda wowote.

Kwenye SMS Hii ya Wolper anamwambia Sarah Mzungu >”Tafadhali sana, Ongea na mwanaume wako, Unanitaka tena Sarah, sema ndio na uone ntakacho weza kufanya, sema ndio uone kama nashindwa kuwa na Hamo, nitakuwa naye kama unadhani nashindwa kurudiana na mwanaume wangu, nimekupa nafasi ya kuwa naye ila usifikirie nashindwa kumchukua mwanaume wangu”

Izzo Bizness Azungumzia Shavu La Coke Studio Africa, Awasifia WCB Kwa Kunyaka Colabo Na Rick Ross

Alichosema BillNass kuhusu Colabo ya Diamond Platnumz X Rick Ross

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open