Burudani

Kylie Jenner na Travis Scott wanategemea kupata mtoto wa kike.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwa mujibu wa TMZ mdogo wake Kim Kardashian, Kylie Jenner na mpenzi wake rapa Travis Scott wanategemea kupata mtoto wa kike

Baada ya taarifa hizi kusamba inasemekana Travis amekuwa akiwaambia marafiki zake kuhusu jinsia ya mtoto wake, jambo lingine lililovuja hivi karibuni ni kuwa Kylie ana ujauzito wa miezi mitano sasa.

Familia ya The Kardashian inategemea watoto wengi zaidi sababu tayari Kim Kardashian na Kanye West wanategemea kupata mtoto mmoja ambaye inasemekana ni wakike.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open