Burudani

Kendrick Lamar kafunguka kuhusu kumpotezea Donald Trump,alichojifunza kutoka kwa JAY-Z, wasanii kuandikiwa mashairi.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kendrick Lamar, Kuhusu Rais wa Marekani Donald Trump> Siwezi tena kumuongelea Donald Trump,nikupoteza nguvu kumuongelea mtu kama yeye,ni kama kumpiga farasi aliyekufa

 

Kendrick Lamar kuhusu msanii Wack> Msanii #Wack ni yule anaetumia mtindo wa msanii mwingine badala ya kuwa yeye,ni Simple sana ,KUWA WEWE Basi

Kendrick Lamae kuhusu kuandikiwa mashairi >Mimi najiita Best Rapper, Huwezi kuwa rapa bora zaidi kama unaandikiwa mashairi na Ghostwriter, Ila kama unaandikiwa wwe endelea kutengeneza muziki wake ila usitegemee kuitwa Best Rapper.

Kendrick Lamar, Nilikuwa na Bado ni shabiki wa JAY-Z, Kanifundisha kutumia mashairi kuwafikia watu kama wako pembeni yangu

#SammisagoNEWS

 

Weka Comments Hapa

Open