Michezo

LeBron James ni Muhammad Ali wa mpira wa Kikapu, asema Khalilah Ali….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mcheza kikapu maarufu duniani LeBron James amepokea sifa kubwa kutoka kwa Khalilah Ali aliyekuwa mke wa bondia mkubwa duniani Muhammad Ali.

Khalilah Ali amesemaLeBron James ni Muhammad Ali wa mpiwa wa Kikapu“.

Kauli hii imekuja kutokana na vita anavyofanya Lebron James dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Marekani.

Wiki iliyopita nyumba ya Lebron James mjini L.A ilichorwa maneno ya kibaguzi kwa watu weusi kama NIGGER kwenye geti lake na staa huyu wa kikapu alitoa kauli nakusema Haijalishi unapesa kiasi gani, umaarufu mkubwa, au wingi wa watu wanaokupenda, ni kazi ngumu sana kuwa mtu mweusi Marekani“.

Khalilah Ali amesema Muhammad Ali alipitia ubaguzi na vitendo kama hivi miaka ya zamani.

Fahamu Khalilah Ali alikuwa mke wa Muhammad Ali toka mwaka 1967 mpaka 1976 , walipata watoto wanne.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open