Burudani

Leonardo DiCaprio kwenye mapenzi moto moto tena na mwanamitindo Toni Garrn

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji maarufu duniani Leonardo DiCaprio amethibitisha kurudiana na Ex wake mwanamitindo Toni Garrn

Ijumaa hii staa huyu  wa filamu alikuwa na Toni Garrn kwenye mgahawa mmoja baada ya kutazama mechi ya mhezo wa Base Ball.

Leonardo DiCaprio ni miongoni mwa wanaume wasiopenda ndoa pale Hollywood na hutajwa kuwa na wanawake zaidi ya wawili mara ka mara na maisha haya yamezoeleka sana na mapaparrazi ndio maana hapondwi kuwa PLAYER.

Video,Mwili wa Justin Bieber umejaa tattoo

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open