Burudani

Rapa Lil Wayne amepatwa na mshtuko wa kifafa jumapili hii.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rapa Lil Wayne amepatwa na mshtuko wa kifafa na kuwaishwa hospitalini mjini Chicago jumapili hii.

Lil Wayne alikutwa amepoteza fahamu kwenye chumba cha hoteli mjini Chicago kutokana na kuugua Kifafa na hata baada ya timu yake kujaribu kumtoa hospitalini kwaajili ya kazi, ilishindikana na staa huyu alifuta show zake za mjini Las Vegas.

Lil Wayne amewahi kukutwa na mishtuko ya Kifafa zaidi ya mara mbili akiwa kwenye ndege na kwenye mishe zake za kazi za muziki,

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open