Burudani

Hii video mpya ya Lil Kim ‘Took Us A Break’ itazame hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Hii video mpya ya Lil Kim ‘Took Us A Break’, wimbo huu upo kwenye album ya Kim ya kwanza toka mwaka 2005 alipotoa The Naked Truth,

Baada ya wimbo huu inakuja colabo ya Lil Kim na Remy Ma “Wake Me Up,” ambayo humo kachwanwa Nicki Minaj.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open