Burudani

Pesa zimesababisha kufa kwa urafiki wa T-Pain na Lil Wayne,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kampani ya Nappy Boy Production iliyopo chini ya T-Pain imefungua mashtaka dhidi ya ‘Young Money’ ya  Lil Wayne wakidai kurushwa pesa za mirahaba za wimbo wa Get Money uliotayarishwa na T Pain, wanataka fidia ya dola Laki 5.

T Pain na Lil Wayne wamekuwa marafiki kwa muda mrefu, waliwahi kushirikiana kwenye wimbo zaidi ya mmoja ndio maana jambo hili limekuja kwa mshtuko mkubwa kwa mashabiki zao, T Pain anadai pesa za mirahaba kutoka katika album ya ‘The Carter III’ iliyouza zaidi ya nakala Milioni 3.2 kwa Marekani pekee.

T-Pain anatakiwa kulipwa pesa kutokana na utayarishaji wa wimbo wa ‘Got Money’ .

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open