Burudani

Jermaine Dupri; Usher na Lil Wayne wanatumia muziki kukimbia matatizo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Producer wa muziki mkubwa Marekani Jermaine Dupri amesema wasanii Usher na Lil Wayne wanapitia wakati mgumu kwenye maisha yao ila wamegundua kutumia muziki kama kitu cha kuwapotezea mawazo ya mambo ya dunia.

  

Akiongea na mapaparazzi wa TMZ Jermaine Dupri anasema Usher amekuwa na shughuli nyingi za muziki toka skendo ya kuambukiza wapenzi wake gonjwa la ngono kuanza,  Jermaine ndio producer pekee anayetengeneza album mpya ya Usher.

Pia Lil Wayne amerudi studio siku chache baada ya kuanguka Kifafa mjini Chicago, Wayne alikuwa studio na producer Scott Storch.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open