Michezo

Agent wa Zlatan Ibrahimović amemshauri Lionel Messi kuondoka Barcelona

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Agent wa Zlatan Ibrahimović amemshauri Lionel Messi kuondoka Barcelona ili kuthibitisha yeye ni mchezaji bora zaidi na kuthibitisha yeye ni BORA ZAIDI.

Carmine “Mino” Raiola ni Agent wa wachezaji wakubwa kama Zlatan Ibrahimović, Paul Pogba, Romelu Lukaku, Henrikh Mkhitaryan, Marco Verratti, Gianluigi Donnarumma na Mario Balotelli.

Mchambuzi wa soka ea ESPN Amepinga kauli hii nakusema Messi hana haja ya kuthibitisha yeye ni BORA ZAIDI sababu ameshafanya hivyo na amefanya makubwa zaidi kwenye soka ila ni kweli wengi wanataka kuuona kwenye klabu nyingine.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open