Burudani

Liverpool wanasema Philippe Coutinho hauzwi

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya Liverpool imesema kiungo mbrazil Philippe Coutinho hauzwi na atakuwa na klabu hio mpaka dirisha la usajili litakapofungwa.

Wiki hii Liverpool walikataa dili la Pound milioni 90 kutoka Barcelona kwaajili ya usajili wa Philippe Coutinho.

Coutinho, alisaini dili la miaka mitano na Liverpool january mwaka huu,Alinunuliwa na klabu hii kutoka Inter Milan kwa ada ya pound milioni £8.5 mwaka 2013.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open