Burudani

Hii ndio video yenye rekodi mpya ya kutazamwa na watu Bilioni 4 duniani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Rekodi mpya kwenye mtandao wa Youtube imewekwa na msanii Luis Fonsi na Daddy Yankee kupitia video ya wimbo wao wa “Despacito”ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 4.

Video hii inashikilia rekodi ya video iliyotazamwa zaidi Youtube, “Despacito” Maana yake ni “slowly” au kwa lugha ya Kiswahili ‘Pole Pole’.

Msanii wa pop kutoka Canada, Justin Bieber alifanya remix ya wimbo huu na ikapata umaarufu zaidi duniani.

Video hii imvunja rekodi ya video ya ‘See You Again’ ya Wiz Khalifa Ft Charlie Puth ya mwaka 2015 yenye watazamaji bilioni 3.15 na video ya Psy “Gangnam Style” ya mwaka 2012 yenye watazamaji 2.97.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open