Burudani

Alikiba, Diamond Platnumz, Lulu, Flaviana Matata, Nancy Sumari na Millard Ayo kwenye tuzo hizi kubwa Barani Afrika….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Majina yametoka ya Vijana wanaowania Tuzo za VIJANA 100 WA AFRIKA wenye ushawishi mkubwa kwa jamii katiika Nchi zao na Barani Afrika kwa mwaka 2017.

Watanzania wanne Wamechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za Vijana 100 wa Bara la Afrika wenye ushawishi mkubwa Kwenye Nchi wanazotoka na Barani Afrika. 💪

Tanzania imewakilishwa na Msanii Alikiba, Diamond Platnumz,Mwigizaji Lulu Mwanamitindo wa Kimataifa Flaviana Matata, Nancy Sumari, Millard Ayo , Lilian Makoi,

  

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open