Michezo

Man City watajaribu tena kumsajili Alexis Sanchez January 2018.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

ESPN Imeripoti kuwa Man City bado wanamuhitaji Alexis Sanchez na kwamba watajaribu tena kumsajili kwenye dirisha la usajili la January 2018.

Kumbuka mwishoni mwa mwezi wa nane Dau la mwisho la pound milioni 60 kutoka Man City kwa Arsenal lilikataliwa.

Manchester City watafanya dili jipya la Alexis Sanchez ila mchezaji wao Raheem Sterling hatahusishwa kwenye dili lolote.

Mpaka sasa Guardiola anaimani na washambuliaji wawili tu kwenye kikosi chake ambao ni Sergio Aguero na Gabriel Jesus.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open