Burudani

Picha, Meek Mill tayari kwenda gerezani

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Polisi wamethibitisha kuwa rapa Meek Mill yuko kwenye hatua za mwisho za kupelekwa kwenye gereza atakalokaa na kutumikia kifungo cha miaka miwili.

 
Meek Mill ametumia saa 48 zilizopita katika jela ya Graterford huku magereza mjini Pennsylvania ikisema haita taja jina la jela atakayopelekwa mpaka atakapoingizwa ndani kutokana na sababu za kiusalama na kupunguza fujo za waandishi wa habari.

Hii picha yake akiwa tayari amevalia nguo za njano kwaajili ya wafungwa wapya katika jela ya GraterFord.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open