Michezo

Atletico Madrid imefikia makubaliano na Chelsea katika kumsajili Diego Costa,

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

#ESPN Wameripoti kuwa Klabu ya Atletico Madrid imefikia makubaliano na Chelsea katika kumsajili Diego Costa, Atafanyiwa vipimo vya afya wiki ijayo.

Uhamisho huu utakamilika January,2018 sababu hawezi kuandikishwa kama mchezaji wa La Liga mpaka mwakani, Diego alihamia Chelsea akitokea Atletico Madrid mwaka 2014 kwa ada ya pound milioni 32.

Kwenye msimu huu ea EPL Diego hajacheza na Chelsea na mweiz wa Nane alitumia muda mwingi kwao Brazil.

Diego amefunga magoli 58 kwenye 120 za Chelesea.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open