Michezo

Picha, Klabu ya Man United imekamilisha usajili wa Kiungo Nemanja Matic….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa Kiungo Nemanja Matic kutoka Chelsea kwa ada ya Pound milioni £40, Matic, 28, amesaini mkataba wa miaka mitatu na Man United

Nemanja Matic amekuwa mchezaji wa tatu kusajiliwa na Man United baada ya Victor Lindelof aliyesajiliwa kwa ada ya pound milioni 31 kutoka Benfica, mwingine ni Romelu Lukaku aliyesajiliwa kwa ada ya pound milioni 75 akitokea Everton.

Nemanja Matic atavaa jezi number 31 akiwa Manchester United.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open