Burudani

Mambo 8 aliyosema Diamond Platnumz kuhusu Mahusiano yake na Hamisa Mobetto, Mtoto wao na kama Zari anajua

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye mahojiano na kituo cha Radio cha Clouds Fm #LeoTena Leo msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz ameweka wazi mambo yote kati yake na Hamisa, Mtoto wao , Mahusiano yake na Zari na anachofanya kulea mtoto vizuri.

Kuhusu Hamisa kuvujisha Clip zao Pamoja>Hamisa kuvujisha Clip akidhani nitaachana na Zari, hio HAITOTOKEA, Nitapiga hata magoti na kutembea mpaka South, Kuna Clip zingine Hamisa alinirekodi bila kujijua,labda alikua ana malengo yake mwenyewe

Kuhusu Hamisa Kujifungua >Nilimuomba Mama aende kumuona Hospitalini nikiwa London lakini Hamisa akatuma watu wamrekodi alivyofika, sasa kwanini

Diamond Platnumz Kuhusu Zar Kujua, >Nilisha mwambia Zari mapema na tukaongea na yakaisha hana noma na huyu Mtoto wa Hamisa,tulizungumza tu vizuri, ingawa sio kila jambo nilimwambia, sio kuhusu kutuma pesa na iisue kama hizo,

Kuhusu Kumtelekeza mtoto>Hamisa alitengeneza nionekane kama nimemtelekeza mtoto wakati natoa hela kila siku na nilishaenda kumuona mwanangu na nikalala kabisa mpaka asubuhi, ila siku ingine nilijua wananitegeshea Shilawadu nikagoma kwenda.

Diamond kuhusu kutakanwa kwa Zari>Kilichoniuma sana ni kuwa Zari hausiki na chochote na huyu mtoto lakini Hamisa alitengeneza mazingira atukanwe

Kuhusu mwanamke mwingine mwenye mtoto wake>Kama kuna Mwanamke mwingine ana mtoto wangu asiogope kumleta Madale atalelewa tu, sina tatizo kabisa, Aje ila asiPost tu
Diamond kuhusu pesa alizompa Hamisa>Wakati anajifungua nilimpa Hamisa USD 3500 na Mpaka mtoto anazaliwa nilikua nampa Hamisa 70000 kila siku, nikamnunulia na Rav 4 ila sikupenda anavyotangaza

Diamond Platnumz kuhusu mahusiano na Hamisa>Niliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mobetto mwaka 2010 lakini hatukudumu

#SammsiagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open