Burudani

Picha, Mary J Blige akikabidhiwa nyota yake ya Hollywood Walk of Fame,Diddy, Tyrese wapo

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kwenye siku yake ya kuzaliwa January 11 akiwa anatimiza miaka 47 msanii maarufu wa RnB Mary J Blige amepewa nyota yake kwenye Hollywood Walk of Fame.

Malkia huyu wa Hip-Hop Soul amesheherekea siku hio muhimu akiwa na wasanii walioanza naye safari yake ya muziki kama Diddy, Tyrese, Andre Harrell na mtangazaji Angie Martinez,

Puff Daddy anasema hii ni siku muhimu kwa malkia wetu,leo siku ya dada yetu kupewa nyota yake Hollywood, kutambuliwa inavyotakiwa, tumepitia mambo mengi sana”

Mary J. Blige naye amesema anafuraha kuipata nyota hio ambayo angetakiw kuipata zaidi ya mara tatu sasa kwa mafanikio na mambo makubwa aliyofanya kwenye muziki Marekani na nje.

Blige kwa sasa anatangaza filamu yake mpya Mudbound.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open