Burudani

Mapacha wa Beyonce na Jay Z, stori inaendelea hapa….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mtandao wa habari za burudani nchini Marekani TMZ umeripoti kuwa Beyonce amejifungua watoto mapacha, mvulana na msichana, mjini Los Angeles.

Mtandao huu pia unasema Bey kajifungulia hospitalini na sio nyumbani kama ilivyotajwa mapema na kwamba mpaka sasa madaktari hawajatoa ruhusa kwake na watoto kwenda nyumbani kutokana na tatizo dogo ambalo mpaka sasa halijatajwa….

Hizi ni Updates kuhusu stori hii kubwa ya msanii wa RnB na Pop Beyonce na mume wake Jay Z kupata mapacha, Chochote kipya tutakufahamisha hapa…..

BillNass Kafunguka kuhusu Beef, Stress za GodZilla, alivyoipokea Diss Ya Wakazi ‘ZillNass’

#SammisagoNEWS  #StoriByMelisa

Weka Comments Hapa

Open