Burudani

Madee; Muziki wetu umepata kilema! Hauna TUZO Hauna ALBUM….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii maarufu wa muziki Tanzania aliyeanza kwa kufanya HipHop na baadae kubadilika Madee amesema muziki wa Tanzania umepata KILEMA

Kupitia twitter yake Madee anasemaMziki wetu umepata kilema!hauna TUZO hauna ALBUM alafu kuna watu wanasema wanataka kuufikisha mbele,hahah kwanjia gani labda,#mawazoyanguTU ‘

Je Unakubaliana Na Madee ?

Weka Comments Hapa

Open