Michezo

Man City leo imetangaza kumsajili kipa Ederson Moraes kutoka Benfica….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Klabu ya Man City leo imetangaza kumsajili kipa Ederson Moraes kutoka Benfica kwa mkataba wa miaka mitano.

Mbrazil huyo Ederson Moraes ,23,ametua klabuni hapo kwa ada ya Pauni milioni 35.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open