Burudani

Martin Lawrence; Sina uhakika kama Bad Boys 3 itafanyika tena

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mwigizaji na mchekeshaji maarufu Duniani Martin Lawrence amesema hana uhakika kuhusu kufanyika kau kuendelea kwa filamu za Bad Boys anazofanya na Will Smith.

Ikiwa ni miaka 14 toka imetoka filamu ya Bad Boys 2, palikuwa na tetesi kuwa filamu hii ingefanyika tena kama toleo la tatu mwaka huu ila mpaka sasa chenga.

Martin Lawrence amesema “Sidhani kama hii movie itatokea, Will yuko sehemu nyingine akifanya filamu nyingine kabisa

Kwa sasa Will Smith yupo busy na filamu ya Aladdin ila pia yeye ndiye alisema Bad Boys 3 inakaribia kutoka kutokana na maongezi aliyofanya na wamiliki wa filamu hio.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open