Burudani

Kuhusu Jumba la kifahari la Mariah Carey kuvamiw ana kilichoibiwa.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

TMZ imeripoti kuwa nyumba ya msanii wa muziki wa Pop Mariah Carey imevamiwa na vibaka na mamilioni ya pesa kuibiwa.

Jumba la kifahari la Mariah Carey mjini Los Angeles lilivamiwa na watu wasiojulikana weekend hii  na walifanikiwa kuiba vitu vyenye thamani ya dola za kimarekani 50000 ambazo ni [Tsh. 112,400,000]

Wezi walipita juu ya paa la nyumba na kufanikiwa kuzima ALARM ndio maana walinzi hawakujua kuwa wezi walizama mpaka asubuhi.
Wakati likifanyika tukio hilo Mariah Carey alikuwa mjini New York.
Alichosema Aslay Kuhusu kufananishwa na Ali Kiba na Diamond Platnumz

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open