Burudani

Mariah Carey na YG wafanya wimbo kuhusu kuvunjika kwa mahusiano na jinsi ya kujimudu wakati huo…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya kuingia studio na Travis Scott na DJ Khaled, sasa Mariah Carey amemsajili rapa YG kwaajili ya wimbo wake mpya utakao zungumzia kuvunjika kwa mahusiano.

Tayari Mariah na YG wameshafanya video na zote mbili zitatoka Jan. 29. Wimbo huu utazungumzia maisha halisi aliyoishi Mariah na Ex wake James Packer. Mariah anasema wimbo huu utasaidia wanawake kumudu kuvunjika kwa mahusiano yao.

Wimbo huu utakuwa kwneye album ya kwanza ya Mariah toka mwaka 2014 alipotoa ‘Me. I Am Mariah…The Elusive Chanteuse’ pia ni album yake ya kwanza chini ya lebo ya Epic Records.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open