Burudani

POVO La Matonya Kwa WCB Wasafi baada ya kutoa wimbo #Zilipendwa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya WCB Wasafi kuita wimbo wao #Zilipendwa sasa msanii Matonya ametoa Povu juu ya wimbo huo ikiwa sababu yake ni kuwa yeye pia ameshawahi kutoa wimbo wa ZILIPENDWA.

Kwenye Instagram yake Matonya aliandikaNduguzangu wasafi / Nawapongeza sana kwa kazi mzuri mnazo zifanya / Nilifurahi Sana mlichokifanya kwa saida karoli dadaetu/ mlimuita mkamshirikisha akawapa Baraka zake/ kwangu mlishindwa nini? Sina shida Ya Pesa nina shida Ya heshima cose najua dunia ni mapito/ kama mimi naibiwa haki yangu vipi wasanii wachanga? Basata mkowapi? Wadau Wa muziki mkowapi? Usipo ziba ufa tajenga kuta!! Khaaa tena Bila woga🙆🙆🙆🙆 lakini haki itafata mkondo wake

Zilipendwa Ya Matonya

Zilipendwa ya WCB Wasafi

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open