Michezo

Picha, Kylian Mbappe kwa mara ya kwanza akifanya mazoezi na Neymar.

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Paris Saint-Germain Wanaimani kuwa muungano wenye thamani ya pound milioni 364 utawafikisha kwenye Champions League na kuwapa ushindi.

Kwenye picha hizi ni Kylian Mbappe kwa mara ya kwanza akifanya mazoezi na Neymar jumatano ya wiki hii toka amesajiliwa kutoka Monaco kwa ada ya pound milioni 166.

Meneja wa PSG Unai Emery anategemewa kumchezesha Mbappe na Neymar kwenye mechi yao ijumaa hii.

Kylian Mbappe + Neymar, Hii ni Hand Shake yenye thamani ya Pound milioni 364

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open