Burudani

Meek Mill yuko hatarini kurudi jela tena kwa muda wa miaka miwili

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Baada ya makosa mawili makubwa uraiani, rapa Meek Mill atabidi asimame mbele ya jaji wiki ijayo kujitetea kama bado ana haki ya kuendelea kuwa huru baada ya kufanya makosa akiwa kwenye kipindi cha PROBATION.

Unapokuwa kwenye Probation, unakuwa chini ya uangalizi mkali wa polisina mahakama, na huruhusiwi  kuvunjaji Masharti ya muda wa Uangalizi huo, Meek yuko probation kutokana na kesi yake ya kukutwa na Madawa ya kulevya pamoja na silaha za moto ya mwaka 2008.

Jaji anasema Meek atasimama kujitetea baada ya kufanya makosa haya mawili hivi karibuni

-Alikamatwa baada ya kupigana katika uwanja wa ndege wa St. Louis March 2017
-Hivi karibuni alikamatwa kwa kosa la Uendeshaji hatari wa chombo cha moto [PikiPiki].

Jaji akiona Meek Mill bado mtukutu basi atarudishwa jela kwa muda wa miaka miwili.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open