Burudani

Adhabu aliyopewa Meek Mill kwa makosa ya barabarani aliyofanya mwezi wa nane

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Meek Mill amekubali dili la adhabu aliyopewa na mwana sheria wa serikali baada ya kukamatwa akiendesha piki piki kwa fujo na kuhatarisha maisha yake na ya watu barabarani mjini New York.

Meek Mill amekubali kufanya kazi za kijamii kwa Saa 30 na kutokamatwa kwa kosa lolote kwa muda wa miezi sita, mpaka sasa ameshafanya kazi za kijamii kwa saa 20.

Meek alikamatwa kwa kosa hili wakati ana fanya video ya muziki wake karibu na jengo la Empire State mwezi wa nane mwaka huu.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open