Burudani

Rapa Meek Mill anyimwa dhamana, Jaji asema ni mtu hatari kwa jamii

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Jaji mjini Pennsylvania amekata kumpa rapa Meek Mill dhamani wakati uchunguzi wa hukumu yake ya miaka miwili mpaka minne ikichunguzwa zaidi.

Baada ya upande wa Meek Mill kumkataa jaji Genece Brinkley aliyempa hukumu kali sana rapa huyu sasa jaji mwingine Justice Brinkley amekata kumpa Meek Mill dhamana akidai rapa huyu anaweza kutoroka Marekani na kwamba ni mtu hatari kwa jamii.

Wakili wa Meek Mill Joe Tacopnia, amesema mapambano hayajaisha.

#StoriBy Melisa #SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open