Burudani

Alichoandika Mh Paul Makonda kuhusu beef la Ali Kiba na Diamond Platnumz kiko hapa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Ikiwa kwa sasa kuna rekodi kubwa kwenye Tv na Radio za wasanii Diamond ‘Zilipendwa’ na Ali Kiba ‘Seduce Me’ , Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda ameandika ujumbe huu mfupi kuhusu beef la Ali Kiba na Diamond Platnumz, baada ya kupost video ya Ali Kiba.

“Tofauti zenu mimi nazipenda, kwani zinaleta ushindani mzuri kwenye mziki. Ila naomba mzingatie sheria na Utamaduni wetu..”

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open