Burudani

Kundi la Migos limeanza kutayarisha filamu kuhusu maisha yao

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Wasanii wa kundi la Migos walio Hits na wimbo wao wa ‘Bad and Boujee’ wameanza kutayarisha filamu kuhusu maisha yao,

Kwenye Interview na Beats 1, Offset amesema “msanii mwenzake Quavo ameanza kuandika filamu hii

Quavo ni miongoni mwa wasanii wa rap wanaopenda sana filamu, Migos wanataka filamu yao iwe kama filamu za zamani zilizoshika soko kubwa kutka kwa wasanii wa hiphop kama  Juice, Menace II Society, Filamu za Snoop Dogg, za Master P, I Got the Hook-Up, Baller Blockin na Filamu za Ice Cube.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open