Burudani

Picha hizi, Huyu ndio msanii wa kwanza Afrika wa Rap/HipHop kumiliki ndege yake binafsi

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii maarufu kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest ametajwa kuwa msanii wa kwanza wa Rap/HipHop Africa kumiliki ndege yake binafsi.

Cassper amekuwa akiweka rekodi kwa kujaza watu kwenye show zake za muziki katika viwanja vikubwa nje na ndani ya Afrika Kusini toka mwaka 2016 na 2017, mpaka sasa imeripotiwa kuwa Cassper ameuza zaidi ya kopi milioni 10 za album zake.

Mwaka 2018 umeanza vizuri kwa Cassper Nyovest

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open