Burudani

MIGOS Wamalita Utata kati ya Nicki Minaj na Cardi B

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Kundi la wasanii wa Rap la Migos limethibitisha kuwashirikisha wasanii wakali wa wawili wa rapa kwenye wimbo wao.

Nicki Minaj na Cardi B watasikika kwenye hii colabo iliyopewa jina Motor Sport, katika album ya Culture II,

Kitendo hichi kimepelekea kupungua kwa mashabiki kushindanisha wasanii hawa Nicki Na Cardi B ata baada ya wao kusema hawana beef.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open