Burudani

Missy Elliott amerudi na ladha mpya ya muziki,hii video yake mpya akiwa na Lamb ‘I’m Better’enjoy…

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Missy Elliott amerudi na ladha mpya kwenye masikio yetu, baada ya kutoa wimbo uliotayarishwa na Pharrell “Pep Rally” mwaka jana sasa ametoa “I’m Better.”

Wimbo umetayarishwa na Lamb,Beyoncé na Monica.

Tazama na Sikiliza Interview Za Kuburudisha Kwenye Channel Yetu,Bonyeza HAPA

Weka Comments Hapa

Open