Habari

Uamuzi wa mahakama ya Kenya kuhusu maandamano ya Upinzani katikati ya miji mikubwa

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Mahakama Kuu imeondoa zuio la serikali kwa maandamano ya Upinzani katikati ya miji mikubwa hadi kesi waliyofungua Upinzani itakapoamuliwa.

Upinzani walifungua shauri mahakamani jana kuwazuia polisi na Mwendesha Mashataka wa Serikali kutekeleza agizo la kuzuia maandamano lililotolewa wiki iliyopita na Serikali
Atakachofanya Country Boy akipata Colabo Na Diamond Platnumz

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open