Burudani

Rekodi mpya ya Nicki Minaj kwenye billboard, kuhusu colabo na WizKid….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Nicki Minaj anazidi kushikilia rekodi yake kwenye Billboard Hot 100 baada ya kufikisha nyimbo #80 zilizoingia kwenye chati hio, hii imetokea baada ya nyimbo za Future Ft Nicki Minaj ‘You Da Baddest’Yo Gotti , Mike WiLL Made-It na Nicki Minaj ‘Rake It Up’ na Jason Derulo ‘Swalla’ kuingia kwenye chati hizo.

Mwanzoni mwa Mwaka huu Nicki amekuwa msanii wa kike mwenye nyimbo nyingi zaidi kwenye chati ya Billboard Hot 100 nakuvunja rekodi ya Aretha Franklin mwenye nyimbo #73 .

RapUp.Com wanasema Kwa sasa Nicki anafanya album yake mpya ya Toleo la The Pinkprint, Patakuwa na colabo na Quavo na Mnigeria WizKid.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open