Burudani

Mnigeria Phyno alalamika baada ya wimbo wake kukopiwa na Pia Mia….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Msanii wa RNB kutoka Marekani Pia Mia ameingia kwenye beef kubwa na mashabiki wa muziki wa Nigeria baada ya wimbo wake wa “I’m A Fan”  kusikika ukiwa umefanana kabisa na rekodi ya Mnigeria Phyno uitwao “I’m A Fan” Ft Decarlo na Mr. Eazi.

Wimbo huu upo kwenye album ya Phyno ya “Playmaker” ina imethibitishwa na maproducer wa rekodi hii kuwa Jina na mpaka midondoka ya hizi nyimbo mbili vinafanana.

Wimbo wa Pia Mia ulitoka May 25, 2017,, alishirikishwa Jeremih.

Isikilize hapa rekodi hii ya Phyno “I’m A Fan”.

Na huu ni wa msanii Pia Mia kutoka Marekani…

SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open