Burudani

Orodha kamili ya Forbes ya waigizaji ‘Kiume na Wakike’ waliolipwa pesa nyingi zaidi mwaka huu

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Jarida la Forbes limetoa hii orodha kamili wa waigizaji 30 waliopokea pesa nyingi zaidi kutoka kwenye kazi zao za sana mwaka huu [Katikati ya June 2016>June 2017] ikiwa data hizi zinakusanywa na kampuni kubwa zinazofuatilia mafanikio, mauzo na mishahara ya watu hawa maarufu kama Nielsen, ComScore, Box Office Mojo, IMDB pamoja na mahojiano na Agents na Mameneja.

1. Mark Wahlberg, $68 million

2. Dwayne “The Rock” Johnson, $65 million

3. Vin Diesel, $54.5 million

4. Adam Sandler, $50.5 million

5. Jackie Chan, $49 million

6. Robert Downey, Jr., $48 million

7. Tom Cruise, $43 million

8. Shah Rukh Khan, $38 million

9. Salman Khan, $37 million

10. Akshay Kumar, $35.5 million

11. Chris Hemsworth, $31.5 million

12. Tom Hanks, $31 million

13. Samuel L. Jackson, $30.5 million

14. Ryan Gosling, $29 million

15. Emma Stone, $26 million

16. Jennifer Aniston, $25.5 million

17. Jennifer Lawrence, $24 million

18. Ryan Reynolds, $21.5 million

19. Matt Damon, $21 million

20. Jeremy Renner, $19 million

21. Chris Evans, $18 million

21. Melissa McCarthy, $18 million

23. Chris Pratt, $17 million

24. Mila Kunis, $15.5 million

25. Emma Watson, $14 million

25. Emma Watson, $14 million

27. Mark Ruffalo, $13 million

28. Cate Blanchett, $12 million

29. Julia Roberts, $12 million

30. Amy Adams, $11.5 million

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open