Burudani

Picha,matangazo ya TIDAL yazua mjadala kuhusu ujio wa album mpya ya Jay Z….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Matangazo mapya yenye namba 4.44 kwenye mtandao wa TIDAL yamezua mjadala mitandaoni kuhusu ujio wa album mpya ya Jay Z.

Tangazo hili lenye hizi namba “4:44” lipo kwenye tovuti nyingi za burudani na muziki na mabango mitaani. Mashabiki wenye njaa ya muziki wa HOV wanaimani ni album mpya kutoka kwake.

Jay hajatoa album toka mwaka 2013 alipotoa Magna Carta Holy Grail .

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open