Burudani

Rapa Mystikal amefunguliwa mashtaka mawili ya ubakaji

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Miaka 7 baada ya kutoka jela alipotumikia kifungo cha miaka 6 kwa kosa la ubakaji, rapa Mystikal amefunguliwa tena mashtaka mawili ya ubakaji.

Wiki chahce zilizopita polisi kwenye katika jiji la Shreveport, LA walitangaza msako mkali wa rapa Mystikal baada ya dada mmoja kuripoti polisi kuwa alibakwa na msanii huyo.

Mystikal alijisalimisha polisi ili uchunguzi ufanyike na sasa kesi imeanza, dhamana yake ni dola milioni 3.

Watu wengine waliokamatwa kwa kosa hilo ni pamoja na Averweone Darnell Holman na Tenichia Monieck Wafford [Anakabiliwa na shtaka la kuzuia shahidi asiseme ukweli mahakamani]

Mystikal amekata makosa yote.

Mara ya kwanza Mystikal kwenda jela kwa kosa la ubakaji lilikuwa mwaka 2003 na kutoka mwaka 2010

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open