Burudani

Nicki Minaj; Foxy Brown alinifanya nianze kufanya Rap

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

 

Rapa wa kundi la Young Money Nicki Minaj amefunguka kupitia instagram yake nakusema  Foxy Brown ndio chanzo cha yeye kufanya muziki wa Rapa, Foxy Brown ndio ushawishi mkubwa uliopelekea Minaj kuwa Minaj leo.

Maneno ya Nicki Minaj >”I may have never even started rapping if it wasn’t for her. KING FOX. Her flow & delivery is still unmatched. You can’t listen to me w/o hearing her influence. She’s still the only thing I compete w/when it comes to precision of flow, delivery & execution. Trini QUEEN 🇹🇹 Happy Birthday my love”

Akimaanisha>Nisingeanza kufanya Rap kana isingekuwa Foxy Brown, KING FOX, Midondoko na uwakilishaji wake sio wa kufananishwa, huwezi kunisikiliza mimi bila kumsikia yeye, ndio mtu mmoja tu nashindana naye kwenye midondoko na uwakilishaji, Heri ya siku ya kuzaliwa mpendwa wangu

Kwa sasa Foxy Brown anatayarisha ujio wa album yake mpya King Soon Come ,Kuna tetesi Nicki Minaj atasikika kwenye album hii.

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open