Burudani

Nandy; Mwanaume kuwa kuwadi Haina tofauti kabisa na kuwa Shoga maana….

By  | 
Share Habari Na Marafiki Zako

Bongo Fleva Diva Nandy ametumia IG Yake kumchana mtu asiyejulikana kuhusu kutongozea wanaume wenzake ‘Ukuwadi’.

Nandy ameandika kwenye Instagram yake ujumbe huu mfupi wenye nguvu kwa mlengwa huyo “Mwanaume kuwa kuwadi (kutongozea wanaume wenzio) haina tofauti kabisa na kuwa shoga maana una hangaikia kukidhi haja za wanaume wenzio!!!!! “

#SammisagoNEWS

Weka Comments Hapa

Open